home powered subwoofer inahitajika used sio mchina.

home powered subwoofer inahitajika used sio mchina.

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
5,284
Reaction score
4,826
Nahitaji powered subwoofer (active sub) ya mtumba iwe na kuanzia 250watts RMS isiwe mchina. Iwe na inbuilt amplifier, sio inayotegemea amplifier ya dvd deck kama zilivyo home theaters, inaweza kuwa na sattelite speakers( mid channels) za 2:1 au 5:1 channels but ikipatikana ya 2:1 itakuwa powa zaidi au haina kabisa ni bass module tu peke yake.product iwe ya usa, uk or japan
 
250 watts ni ndogo sana,,Tafuta kuanzia 1000Watts.

mkuu 1000w RMS ni kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani labda kwa PA ila kama unazungumzia 1000 w P.O.M.P ni sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom