JVC 3CCD Camcorder model GZ-MG505
Imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na haina matatizo.Screen 2.7 inch,Optical zoom 10x,Storage media type..Hard disc drive 30GB,5 Mega pixel steel...
Kawasaki FA130 Petrol engine 3 inch.Inakuja na outlet pipe mbili ambazo zina urefu wa futi 18.Imetumika kidogo sana nchini uingereza lakini imeshafika Dar na bei ni shs 900,000 na kwa maelezo...
Nauza gari ya abiria ambayo ina viti 32 na ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi ya shule.Aina ya basi hii ni Mercedes Benz ambayo vipuli havina shida na engine ni 4lt automatic na ni ya...
Short Course Announcement on DATA PROCESSING AND ANALYSIS
Introduction
The process of organizing and thinking about data is key to understanding what the data does and does not contain...
Heshima kwenu wadau,
Natafuta mtu mwenye digital camera
Nzuri isiyo chini ya 12 megapixel aliye interested kubadilishana na Sony playstation 2,
Ps2 ni nzima kabisa imetumika 1 year home with...
Inahitajika land cruiser prado sx,lx,au zx. Iliyokwenye hali nzuri ambayo haijawahi kupata madhara na iwe haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka wowote. Bei...
Tunatengeneza mabango ya matangazo kwaajili ya maduka, ofisi, hoteli, salon, taasisi & many moretupo mtaa wa amani na chui kariakoo dar es salaam0716002790 karibu !!!!
Gari inauzwa aina ya toyota picnic 7 seater iko zanzibar ni nzuri sana haina matatizo yoyote nunua na uendeshe kwa biashara ya taxi au family bei ni sh' 8,000,000 piga simu hii 0777424737 Masoud...