nauza body ya mistubishi Chariot, bado ipo bomba, inasumbua engene sasa me nimekosa pesa ya kubadilisha engene ili niweke ya Rav 4, kama unaitaji ni shilingi milion 2.5, mawasiliano ni 0652-110878
Jamani Ninauza Mafuta halisi ya ALIZETI toka singida sasa yapo Dar maeneo ya mbezi yapo kwenye ujazo wa lita 5, BEI POA ujazo wa lita 5 ni sh.16,000 TU. Mafuta halisi kwa afya bora..Kwa...
eneo la skwata,nyumba ina vyumba sita,choo, ina eneo kubwa, nyumba ni ya kizamani ila eneo linalipa na lipo katika hali nzuri.Bei yake ni Tshs 40,000,000/=.Ukitaka kuliona eneo nipigie +255715 46...
Nauza hii Camera ambayo itawafaa wenye kurecodi shughuli mbali mbali za kibiashara.Camera ni nzuri sana na inafanya kazi bila wasiwasi wowote na inatoa Quality picture na kwa wanayoijua watafahamu...
Nyumba chakavu 4 zinauzwa zikiwa katika viwanja tofauti 3 zipo kinondoni shamba moja ipo keko. kati ya hizo tatu moja unaweza paki gari mpaka mlangoni na hizo mbili gari hazifiki. nyumba hizi ni...
tunayumba za kupangisha , kuuza . kwa matumizi binafsi na ofisi kwa maeneo niliyotaja hapo juu. kwa anayetafuta nyumba maeneo hayo tuwasiliane, na pia kwa anayetaka kuuza nyumba au mali yoyote ...
Ipo Ilala,
iko barabarani kabisaa,
nyumba kubwa inavyumba 6 na vyumba vya uani 5..
Na eneo linabaki.
Bei milioni 500 bei inapungua,
mawasiliano..
0713133633
Ni nzuri , ina mlango wa ku-slide, na floor tiles nzuri. Fremu hii ipo barabara ya changombe na inatazama bara bara hiyo. Ipo kati kati ya maduka mawili na bora
bei ni tshs. 90,000 kwa mwezi na...
wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua ni...
Ni nzuri , ina mlango wa kii wa ku-slide, na floor tiles nzuri. Fremu hii ipo barabara ya changombe na inatazama bara bara hiyo. Ipo kati kati ya maduka mawili na bora
bei ni tshs. 90,000 kwa...
Kwa mtu anayehitaji kuuza au kununua nyumba Dar - Es - Salaam. Tuwasiliane 0657 145555. 0755 099 291 na 0686 200 117 Havilla Real Estate Agent. karibuni
Habari wana JF!
Kuna kiwanja maeneo ya chanika kwa singa kinauzwa. Ni cha miguu 17 kwa 17, Kutoka kwa singa mpaka kilipo ni mwendo wa dakika 12 hadi 15 kwa miguu. Bei ni 2 millions inapungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.