Printing inks available

kuna mtu anayo printer ya Dell anatafuta wino lakini hiyo lugha yako ime ka kiufundi sana nimeshindwa jua kama ita ingilianan au la mana katafuta sana amekosa
 
Samahani kwa lugha yangu ingawa haina wepesi wake. Wino ni wa mashine za kuchapia magazeti na vitabu. Si kwa computer printer ya mezani. Ni-PM model ya printer pengine naweza kusaidia.
 
Back
Top Bottom