Nahitaji Toyota Vitz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji Toyota Vitz

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ramthods, Mar 20, 2012.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  Nahitaji Toyota Vitz iliyo katika hali nzuri.

  Bajeti ni 6M. Isiwe imewahi kupata ajali.

  Napendelea zaidi rangi ya Silver, Off white, Blue, Gray etc. Rangi kali kama pink, orange sitopendelea.

  Iwe imetumika ndani ya miaka miwili, na sio zaidi.

  Tafadhali ambatanisha picha.

  Ni PM kwa taarifa zaidi.

  Natanguliza shukrani.

  Ram
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Mkuu, ukisema unahitaji 'baby walker' utaeleweka zaidi. Mstue Husninyo naona mwanae kaanza shule sasa atakuwa alishaacha kutumia, though nahisi yake ni ya njano.
   
Loading...