Rav4 milango 5 iko sokoni

solon

Member
Mar 16, 2012
12
1
HAYA WANAJF KWA MTU ANAYETAKA........RAV4 MILIANGO MITANO INAUZWA KWA BEI YA KUTUPWA Tshs7.5mil tuu kwa yeyote ambaye yuko willing tuwasiliane au ani-PM
 
unauza au unatupa?

toa specification na driving history.......including service history.

Halafu hiyo bei sio ya kutupa!! ya kutupa ni 4.5m
 
Mkuu weka details za kutosha.Imetembea km ngapi ?,ni manuala au automatic ikiwezekana weka picha.
 
weka picha unakuwa kama hujui watu kama mimi tunapendaga RAV4 za <8M?
Unaona inavyogombaniwa hujaweka picha,ukiweka picha itakuwaje?:sleepy:
 
Back
Top Bottom