rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Natanguliza heshima!
Wakuu hivi naweza kuipata wapi hii machine(saw dust bricks manufacturing machine) hapa Tanzania?
Naihitaji kwa sababu kuna sehemu nimekuta hizo materials hawajui wazitupe wapi?
Hata kama ni ya kuagiza naweza kujitahidi.
Kuna mtu ameona ilipo na inafanya kazi ?angalau naweza kwenda kumuuliza aliyenayo akanipa ujuzi wake?
Asanteni!
Rakey