Ramani na tathmini za nyumba

Ramani na tathmini za nyumba

Ellie

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Ukitaka ramani za nyumba kwa maana ya designs pamoja na quantification zake at reasonable price. Contact nyenze1@yahoo.com
 
Ndugu toa ufafanuzi basi ili watu tuelewe,unaweza weka gharama pia.
 
Mkuu nipatie specifications kwa kuni PM then nitakupatia gharama na kila detail.
 
Kujenga nyumba square meter 1 sh. ngapi? assume najenga nyumba kwenye 17mX20m what is estimated cost ya ujenzi?
 
Kujenga nyumba square meter 1 sh. ngapi? assume najenga nyumba kwenye 17mX20m what is estimated cost ya ujenzi?
 
Mr amkawewe the estimate of 1s.q.m wl cost u 600,000/=Tzsh thn u cn calculate th sqm u hav n get th ovrall cost 4 more info dile 0684683006
 
Back
Top Bottom