wewe utakua una tatizo la akili, naona shughuli zako zimekushinda unaanza kutapatapa unachokisema ni irrelevant na huna hoja ya kujibiwa. Nashauri tafuta kazi za kufanya kuliko kuropoka kama juha
Ujajibu swali,mie kote napajua na wamiliki wa viwanja vyote nawajua kuanzia kongowe,njia panda ya jeshi,pius,kwa sako,msikitini,mwembe mtengu,fundi baskeli(kwa pinda),yatima(fun city),mali asili,mikwambe ccm,kwa sadala,kwa batash,kibada,gari bovu,full shangwe,mbuyuni,ungindoni,kibaoni,mjimwema,haya unataka twende kimbiji au turudi ferry?? Ngoja twende ferry maweni,kwa mwingira,chadibwa,pc,mikadi,msikitini,kwa mlaliji,machava,kisimani,mwembeni,kanisani,haya kona hapo shuka uvuke? Haya tuvuke sasa? Ok ngoja twende kimbiji,tuanzie mjimwema,kibugumo,gezaulole,mwongozo,gomvu,kimbiji...
Kote napajua huko na wamiliki wa estate wote nawajua nipo karibu na wenyekiti wa mitaa,sasa hilo shamba unaloliuza si la sumaye? Au Mzee chacha kalinunua? Au unataka niweke picha ya hilo eneo??