ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Mwenye ako na haka kapikipiki kakiwa na usajili tayari namba D itapendeza iwe used ambayo bado piru muonekano mzuri na isiyosumbua isiyo na kipengele njoo Pm
Kwa bei gani? Hebu tukioneNimeshakipata wakuu
800000Kwa bei gani? Hebu tukione
Ahsante na hongera
unaend km ngp kwa lita moja?Mwenye ako na haka kapikipiki kakiwa na usajili tayari namba D itapendeza iwe used ambayo bado piru muonekano mzuri na isiyosumbua isiyo na kipengele njoo PmView attachment 2668751
Honda today ni km 60 per hour ila niliyopata kampuni ya sym kwa mtu used hio 140 km per hourunaend km ngp kwa lita moja?
Lita moja sina uhakika ila nahisi utazunguka zaidi ya km 30unaend km ngp kwa lita moja?
na mm natafuta kama haka kakupigia trip za hapa na pale au click japo wauzaji wa dar wanauza bei za vitzLita moja sina uhakika ila nahisi utazunguka zaidi ya km 30
Haka kadude umekanunulia wapi! Nahisi na mimi nimekatamani eti! cc 50 bila shaka katakuwa kananusa tu mafuta.
Hapana ..mwanzo ndo nilikataka cha cc 50 ila baadae nikaokota dodo hiko pichani nilichokapata ni cc 125Haka kadude umekanunulia wapi! Nahisi na mimi nimekatamani eti! cc 50 bila shaka katakuwa kananusa tu mafuta.
Kiko vzr. Piga kazi