hassanjrtz
Member
- Apr 10, 2023
- 14
- 15
Habari wanaJF mimi ni fundi wa kuchomelea (Arc Ray Welding) mkazi wa Dar natafuta kazi ya kuchomelea yeyote mwenye connection tafadhali anisaidie..
Una vifaa? Kama huna ni shilingi ngapi kuvipta?Habari wanaJF mimi ni fundi wa kuchomelea (Arc Ray Welding) mkazi wa Dar natafuta kazi ya kuchomelea yeyote mwenye connection tafadhali anisaidie..