Ukubwa nusu eka( mita 70 kwa mita 35) maji na umeme yapo jirani,kipo umbali wa mita 100 kutoka main road Kanisa la kkkt lipo karibu. Bei ni milioni 30.
Nina rafiki yangu mmoja yupo maeneo ya Arusha anatafuta used laptop aina ya Dell D620 au laptop yoyote used. Bei aliyonayo n sh. 300,000/= kwa yeyote mwenye used laptop ambaye angependa kumuuzia...
12000mAh LAPTOP SOLAR CHARGER
1.Scope for charging: laptop, any mobile phone,digitalcamera,mp3,mp4,PDA,PSP,GPS,DV etc.(USB and 13 mini connected pins)
2.Flashlight:1 high light Ø10mm...
Nina LG GU285 niliagiza toka nairobi,ni 3g na ina mambo mengi na pia internet yake ipo fasta,ina earphone zake na chaja ni line moja isipokuwa screen yake si kubwa sana kama ninavyopenda...
habari wakubwa,
we are developing bussines website for only laki moja tu!!!!!!!
if you are you want one email us ashtatu@gmail.com
(hosting and publishing cost excluded)
thank you,
Ina vyumba vya kulala vitatu ( kimoja self contained na vingine viwili vya kawaida). In sebure kubwa ambayo inatumika kama dinning pia. Ina jiko na store. Ina uwanja wa kutosha kupaki magari...
Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila...
Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Ruvuma wakiwa wamewakamata baadhi ya wananchi wakazi wa Lizabon ambao walikuwa wakifanya vurugu kwa kurusha mawe na kuchoma moto matairi...
Hii ni ipad 1 ambayo ina 64gb 3g na wifi na pianina uwezo wa kupiga simu na kupokea na pia kutuma na kupokeansms kwa tumia line yako. Bei ni 750,000/. Iko katika hali nzuri kabis haina mchubuko wa...
Wakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna...
1) Flash Disks ya aina ya TOSHIBA.
2gb- 9,000/-
4gb- 10,500/-
8gb- 12,500/-
* With 1 Year Warranty.
* Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi.
* Special for RESELLERS.
2) Memory SD Cards (for...