Data analysis and Presentations for academic works

landless

Member
Mar 6, 2009
81
9
DML consults,we are providing data analysis(secondary and primary data) and presentations for both academic works,projects,researchs and studies,as well as trainings for Statistical packages (PCGIVE,SPSS,STATA,EPI-INFO,E-VIEWS)any one interested contact through 0686787630 :rofl:
 
Tunapatikana kwa anuani ifuatayo P.O Box 95106, Kinondoni,Sinza karibu na chuo cha Ustawi wa jamii,au opposite Hongera Bar,Dar es salaam.Mda wa kazi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 1 jioni kila siku kasoro jumapili. :rofl:
 
Data entry kwenye spss and epidata mnafanya au mnataka tayari mtu tayari ameingiza data zake
 
Je mnatoa training ya kutumia 'R'? na kama mnatoa training ya hiyo program, gharama zake zikoje?
 
That is logit model,Inawezekana mkuu,ni PM that deal.

Data analysis start from planning the research in the first place. What statistical procedure to use depends on your research protocol. Specifically, study design and sampling method while validity of your findings depends on the sample size etc.

I would recommend you start a course in research methods which will cover the whole process of planning, data collection and instruments, data management and analysis. Services on data analysis alone should be a demage limitation measure for those who could not attend the course.

I am 100% sure that someone who has data from research and he/she does not know how to analyse it (except for secondary data not collected for research purposes) will have problems understanding the outputs.
 
Je mnatoa training ya kutumia 'R'? na kama mnatoa training ya hiyo program, gharama zake zikoje?

Kaka bado hatujaanza kutoa training ya R so far tunaitumia kwenye time series analysis tu(Forecasting based on ARIMA using Box–Jenkins approach),na ni kwa kufanyia only some test,ambayo software nyingine haizifanyi vizuri,but tutafanyia utaratibu wa kuanda training manuals yake na kuitangaza pia.
 
Data analysis start from planning the research in the first place. What statistical procedure to use depends on your research protocol. Specifically, study design and sampling method while validity of your findings depends on the sample size etc.

I would recommend you start a course in research methods which will cover the whole process of planning, data collection and instruments, data management and analysis. Services on data analysis alone should be a demage limitation measure for those who could not attend the course.

I am 100% sure that someone who has data from research and he/she does not know how to analyse it (except for secondary data not collected for research purposes) will have problems understanding the outputs.

You are absolutely right,we will capitalize on the initial stages as well. Appreciate.
 
mkuu kwanza nashukuru kwa kutupa info muhimu! Kuna kamradi tunakaandaa na labda june tutatakiwa kufanya baseline survey. Nategemea kukutafuta kwa ajili ya consultations. Vipi firm yenu ina uzoefu wa kufanya consultations kwa muda gani?
 
Personally four years under supervisions of some UDSM Prof ,MU and University of nairobi,But Firm has almost one year.
 
Back
Top Bottom