Ina vyumba vya kulala vitatu ( kimoja self contained na vingine viwili vya kawaida). In sebure kubwa ambayo inatumika kama dinning pia. Ina jiko na store. Ina uwanja wa kutosha kupaki magari...
Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila...
Askari wa kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mkoani Ruvuma wakiwa wamewakamata baadhi ya wananchi wakazi wa Lizabon ambao walikuwa wakifanya vurugu kwa kurusha mawe na kuchoma moto matairi...
Hii ni ipad 1 ambayo ina 64gb 3g na wifi na pianina uwezo wa kupiga simu na kupokea na pia kutuma na kupokeansms kwa tumia line yako. Bei ni 750,000/. Iko katika hali nzuri kabis haina mchubuko wa...
Wakuu black berry 8520 inauzwa haraka imetengenezwa hungary imenunuliwa uk. Bei tshs 700,000/= kama kuna mtu yupo tayari imebakia moja na nokia double line (new) inauzwa tshs 500,000/= kama kuna...
1) Flash Disks ya aina ya TOSHIBA.
2gb- 9,000/-
4gb- 10,500/-
8gb- 12,500/-
* With 1 Year Warranty.
* Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi.
* Special for RESELLERS.
2) Memory SD Cards (for...
Ndugu wadau wa ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimefurahishwa sana na watu wanavyojishughulisha na ufugaji wa kuku hasa wa kienyeji. Mimi nimenza mradi huu kama miezi mitatu sasa. Nina kuku watano...
habari wakuu..
Kiwanja kina ukubwa wa nusu eka 70*35 kinauzwa mil 8 kipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road),maji yapo,umeme upo na barabara ni nzuri mpaka...
Wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia kufanikisha kupata chumba maeneo hususani Ubungo, Mwenge, au Mabibo nitashukuru, Bajeti Tzs 50,000 kwa chumba pekee au Tzs 100,000 kwa chumba na sebule au chenye...
SPECIFICATIONS FOR TOSHIBA SATELITE
processor ni 2.2 duo core
ram ni 2gb
hdd ni 500gb
webcam
wireless internet
SATELITE
NI MPYA IMETUMIKA WIKI TATU TU (BRAND NEW)
price...
sina utaalam nayo ni machine ya kutengenezea hayo mawe, hiko Poland, inauzwa mil 60 Tsh, pamoja na kukusafirishia mpaka Dar, mwenye nayo kaniomba nimtafutie mnunuzi, kama utakuwa unaijua na kuna...
NINAUZA HIACE NISSAN QD CARAVAN KWA YEYOTE ANAYEHITAJI INA MWAKA MMOJA TU TOKA NIIAGIZE JAPAN BEI YAKE INAANZA NA M 13 MAELEWANO YAPO.KWA WALE WA ARUSHA INAPIGA TRIP ZA KWANGULELO NA TOWN KWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.