​MITSUBISHI CANTER : 3.5 TONS ; YEAR 1998 ; 4200 CC : TOURER ; BLUE : REGISTERED T 616 BTD : EXCELLENT CONDITION ; ON SALE BY OWNER AT KIGAMBONI DAR ; serious buyers contact +255...
Nauza vifaa vya saloon vya kike,vimetumika kwa muda wa miezi 5,vipo katika hali nzuri,vyakuchukua nakuanza biashara,drayer 2 moja stimmer,rolaz,vitana,viti vitatu vyakisasa,tray kubwa la...
Kiwanja kinauzwa Kibamba CCM,upande wa kushoto kutokea mjini 25x20 kimeshajengwa msingi,umbali ni km3 tokea barabara ya Morogoro,bei Mil.6,Maelewano yapo,Mimi ndio mwenye mali hakuna dalali...
Ni Analog used, jina lake ni canon, ina external flash inayotumia betri ndogo nne, iko ktk hali nzuri sana, begi pia lipo. bei ya kutupa wandugu, nauza shs 80,000/=. nicheck hapa 0714-408238.
Habari magreat thinkers! Jamani wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina tsh 300,000/= cash, kwa anayeuza anijuze but isiwe mbovu mbovu. Nipo...
Iko mwanza maeneo ya Kilimahewa
Ni maeneo ya 'Big bite' yanapogeuzia mabasi mbele kidogo.
Nyumba haijaisha kama inayvoonekana kwenye picha
Ina sebule,dinning room,jiko,stoo,na 4 bedrooms kimoja...
Wadau chaser inauzwa.model ni gx 90,ni ya mwaka 1993 auto ipo katika hali nzuri,inatembea,sio mbovu,full ac,mp3 Jvc,
full tinted and sports rims.Engine capacity 1989.
Insurance inamaliza muda wake...
Habari zenu wapendwa,
mimi ni mama wa mtoto mmoja na mume mmoja, natafuta sehemu ya kusupply lunch kwa Dar es salaam. yeyote atakayesikia au anayefahamu sehemu ambayo wanashida hiyo tafadhali...
Dears,
Jana nimedondosha BB yangu sasa imepata hitilafu kwenye kioo siwezi view chochote sasa mwenye kujua fundi wa simu aina ya Blackberry anisaidie nipo Dar. kuongezea asiwe fundi tapeli mpenda...
Mimi naitwa Ally nimemaliza masomo yangu ya PHARMACEUTICAL ASSISTANT Mwaka 2011 kwahiyo naomba kama kuna pharmacy inayohitaji fani hii au Hospital basi naomba tuwasiliane kupitia no.0763424125 ndo...
KIWANJA NA MAJENGO MAWILI VINAUZWA.
Kiwanja kizuri 1432square metre, kipo mita 40 tu kutoka Barabara ya Kilwa, Jirani na Kiwanda cha Nguo cha Karibu Textile Mills Ltd, Mbagala. Kina nyumba moja ya...
blackberry bold 9700 white with charger,usb cable,and earphone going for 290000,IKO POA KABISA.BEST OFFER EVER.
NAUZA BEI HYO KWASABABU NINA SHIDA YA PESA LEO HII. WASILIANA NAMI 0653269241
Kiwanja hiki kinaukubwa sawa na uwanja wa mpira wa miguu ( a standard football pitch/ground)...kipo barabarani eneo la madale dsm na linafaa sana kwa petrol station maana sehemu ile hamna(sio...
Kwa yeyote mwenye malalamiko au kero zinazohusiana na huduma za mawasiliano hapa nchini Tanzania;fika/peleka kero au malalamiko yako kwa njia hizi:
1.Baruapepe:info@tcra-ccc.go.tz
2.Fika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.