wanaohitaji laptops na desk tops flat screen brand new na used

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
karibu uhuru computers mtaa wa uhuru na kongo,tupo uhuru round about.

tunauza laptops na desk tops,Dell-probook,hp,na zingine
warranty mwaka mmoja.

ni authorised agent wa DELL na adata flash kwa Tanzania.

laptop used zinaanzia na 250,000/= na brand new zinaanzia na 700,000/=

feel free kutembelea ujionee huduma zetu
tunapokea tender ku supply huduma zetu maofisini na kumfikishia mteja popote alipo Tanzania kwa gharama zetu

karibuni wote

0655524444
0765260673
 
attachment.php

attachment.php

Vipi kwa Hiyo ya pili au ya Mwisho Used sh Ngapi?

Nipe na Specification zake..
 
karibu uhuru computers mtaa wa uhuru na kongo,tupo uhuru round about.

tunauza laptops na desk tops,Dell-probook,hp,na zingine
warranty mwaka mmoja.

ni authorised agent wa DELL na adata flash kwa Tanzania.

laptop used zinaanzia na 250,000/= na brand new zinaanzia na 700,000/=

feel free kutembelea ujionee huduma zetu
tunapokea tender ku supply huduma zetu maofisini na kumfikishia mteja popote alipo Tanzania kwa gharama zetu

karibuni wote

0655524444
0765260673

Nina laptop model name......SATELLITE M70-340......model no:::::pSM70E-02C00QG3. Screen yake yahitaji kubadilishwa. Nahitaji hiyo screen ....How much wauza mkuu
 
Unaweza weka picha za laptops au specifications zake za bei ya kwanzia 250000 na kuendelea
 
wakuu kuna thred nyingine ina details zote mnazouliza.iko hapa hapa ina tittle inayofanana na hii.imefanyiwa marekebisho baada ya maoni ya wasomaji.

karibuni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom