Pata auntVirus za kompyuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata auntVirus za kompyuta

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ThadeoGodfrey, Apr 3, 2012.

 1. T

  ThadeoGodfrey Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ninauza auntvirus kali, ambazo unaweza kuzi update mwaka mzima, pia bei zangu ni nafuu sana. Aunt virus hizi ziko sildi, kwa mawasiliano piga simu namba +255657315394, karibuni sana
   
 2. T

  ThadeoGodfrey Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Aunt virus
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ha haaaa haaaa ..... Aunt-virus au Antivirus

  kumbe unauza shangazi virus
   
 4. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye red am doubting kama upo correct. Anyway ni biashara huria ambayo wawezafanya chochote given kwamba hauvunji sheria.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,244
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo kwenye red shangazi mwenye virusi au?nidadavulie!
   
 6. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli tumeshindwa kila kitu! Tumeshindwa kujifunza lugha ya mambo tunayo yauza...,n way,lakini ushatuvunja moyo hasa kuhusu umakini wako na umakini wa hiyo 'auntivirus' unayo uza. Lakini si ungeangalia ktk hilo kasha lake ulosema liko 'sild' ukakopi na kupest? Usjali.
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,300
  Trophy Points: 280
  Yaani bado unasisitizia.
  Tatizo sio kuacha nafasi kati ya Aunt & Virus,
  Bali neno lenyewe Aunt umelikosea kaka!!
   
 8. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Labda za kichina! Si mnazikumbuka PANASOANIC, SÓNY, PANASONIQUE.


   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,300
  Trophy Points: 280
  nokla!!
   
Loading...