Msaada Manunuzi ya Gari Online (befoward)

Apr 2, 2012
32
8
Jamani nataka kununua gari kwenye hii kampuni www.beforward.jp, Kwa yoyote ambaye alishawahi kununua gari hapa anieleze kama hii kampuni iko bomba kuanzia gari zake (Kama zina good quality) Je kampuni siyo ya kitapeli. Hint: nimeona gari zao ni bei ya chini ukilinganisha na kampuni nyingine kama Autorec
 
Thats nice company.mm nimenunua gari kupitia hao jamaa na nikamwagizia rafiki yangu pia. Gari zilifika salama na wanakupa updates kila mara. Wako very systematic na hawana uswahili na bei zao ziko fair
 
Asante sana mkuu kwa jibu lako, na hii itanisaidia katika maamuzi yangu. Je ukilinganisha na hao Autorec wepi wako bora zaidi mkuu
 
Autorec nao wazuri ila expensive, Beforward very cheap, very fast and reliable. (Angalizo, kuna fraudster anajiita beforward na nembo zilezile, so kuwa mwangalifu.) Binafsi nimefanya nao biashara sana na bado nawatumia.
 
jamaa wako safi sana nimeagiza gari mara 9....very reliable, fast, cheap
 
Back
Top Bottom