Toyota rav 4 inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota rav 4 inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kalidini, Mar 21, 2012.

 1. K

  Kalidini Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toyota RAV 4 yenye details zifuatazo inauzwa.
  -Station wagon
  -Year of manufacture 2002
  -Petrol
  -Colour silver
  -5 Doors
  -Registered T 000 BVK
  -Mileage 68000
  -Engine capacity 1998
  -Imeingia Tanzania October/2011.
  -Inatembea ingawa muda mrefu ilikuwa imepaki, mwenyewe nilisafiri.
  -Bei yake ni MIL.23, maongezi yapo.
  -Wasiliana nami kwa namba 0656 247324
   
 2. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 2,885
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru mkuu japo ingependeza zaidi kama ungeattach na pics chache.
   
 3. networker

  networker JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 565
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  deatail nzuri lakini mwanagu 23 hiyo ni bei ya dukani au yard sasa wewe ni used any way biashara huru
   
 4. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 515
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  duuuuh, hio bei noma, bt thanx.
   
 5. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa umesafiri ndo maana hiyo bei haipo tena kwa specifications ulizotoa.
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkuu punguza angalao 15M
   
 7. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,466
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  RAV 4 ya 2002 unauza 23m hiyo hata kwa 16m sidhani kama utauza may be 15m
   
 8. B

  Ba Brio Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndg yangu bei yako iko juu sana. Na bahati mbaya sana kwa details hizo gari yako itakuwa na engine ya uingereza au D4. sokoni hizo mashine hazikubaliki kabisa. zinazokubalika za 1ZZ ambazo ni vvti na ni 1800cc.
  ushauri wangu uza hata kwa 15M ukipata mtu.mimi binafsi niko tayari kukupa hiyo 15M hata leo hii. ni pm kama vipi.
   
 9. K

  Kalidini Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru wote mliochangia, gari nimeshaliuza kwa 22m.
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,236
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mmh! Acha usanii huo, umeenda kuliuza Kigoma? Wataja bei uliyouza kwani wataka kutupa fungu la kumi?
   
 11. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 3,617
  Likes Received: 1,156
  Trophy Points: 280
  Nashangaa!!!!!!
   
Loading...