Anayetumia BB 8520

Anayetumia BB 8520

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Jamani anayeitumia bb curve 8520 anisaidie kama ina radio na kama ipo sehem gan. Shukran
 
Jamani anayeitumia bb curve 8520 anisaidie kama ina radio na kama ipo sehem gan. Shukran
BB 8520 haina redio lakini unaweza ku download software ya redio au hata TV ukipenda. Mimi nilisaidiwa na mtu mwenye utundu huo na nimekuwa nikitumia huduma hiyo hadi nilipoiuza kwa jamaa mwingine.
 
BB 8520 haina redio lakini unaweza ku download software ya redio au hata TV ukipenda. Mimi nilisaidiwa na mtu mwenye utundu huo na nimekuwa nikitumia huduma hiyo hadi nilipoiuza kwa jamaa mwingine.

Mheshimiwa iyo inakuwa ni internet radio au niaje
 
Oya tafuta software za redio ili utumie internet redio google -brothersoft.Com
 
Ushamba mwingine ni mzigo kweli kweli, sasa wewe simu unataka iwe na redio ili iweje? kwa nini usinunuwe redio walk man?
 
Back
Top Bottom