Acer iconia tab mpya

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Wadaumzigo mpya umetengenezwa mwezi huu ni tab screen TEN WEB CAM HD ina place ya USB Micr sd
bei mliman dola 800 me nauza million moja
 
Kaka unapouza kitu usilinganishe na kuwa sehemu fulani inauzwa kiasi gani sababu kwa mfano pale Mlimani vitu vingine vinauzwa bei kubwa kuliko ukienda city centre au kariakoo na hata pale Game kunakuwa siku zingine vitu vinakuwa poa hasa kama ni siku ya promo,lakini siku zinngine utakuta bei iko juu kuliko town,
Hatahivyo unatakiwa kutaja na model kama ni A500,A300,A200 n.k kwani unapotangaza kitu usimfanye meja ahangaike.
Hayo ni maoni yangu tu kama mdau wa jukwaa
 
nimekusoma ni A200
 
Back
Top Bottom