Hiyo hapo kwenye attachment, au unaweza kui Google ujionee mwenyewe.
Inauwezo wakuchukuwa Quality Video hata iwe usiku kwani ina outmatic light..
Camera ndio usiseme kwani inachukuwa saiz yoyote...
Hi mwenye kuhitaji Bajaj, nauza tsh 2.5m, imekaa road 1 year, ina hali safi kabisa, haijafunguliwa engine ( imebadilioshwa caburator tu), derva wake ni mtu mzuri sana na anaitunza kw ahali ya juu...
OFA KABAMBE
speedy print inakuletea fursa ya ku chapa A3 (full color) kwa Shiling 700 tu.
ofisi zetu zipo mtaa wa Sewa karibu mtaa unaofuatia baada ya mtaa wa Hospitali ya Hindu Mandal...
Poleni na hekaheka za msiba na sherehe ya Pasaka.
Natumai wengi tutakuwa na afya njema.
Nina shamba au waweza kuliita kiwanja kulingana na utakavyotaka kulitumia. Lina ukubwa wa hekari 2 na...
nauza simu tajwa hapo juu.. nadhani tangazo lake linafahamika kwenye TV so wakuu simu inajulikana.. nimetumia siku tano... ina kila kitu ambacho nimenunua pamoja nayo pale vodashop mwezi uliopita...
nauza simu tajwa hapo juu.. nadhani tangazo lake linafahamika kwenye TV so wakuu simu inajulikana.. nimetumia siku tano... ina kila kitu ambacho nimenunua pamoja nayo pale vodashop mwezi uliopita...
Habari wana JF
Kuna nyumba inapatikana maeneo ya Tabata Mawenzi, Ina 3 Bedrooms (One Masterbedroom), Separate Bathroom and Toillet, Kitchen and Store.
Eneo la Nje ni kubwa sana (Sio chini ya...
Ni nyumba yenye vyumba vitatu, ipo mbezi kwa Msuguri...barabara inayoelekea Bwaloni...
ipo barabarani na ni eneo zuri kwa biashara na unaweza ukajenga fremu ukiamua.
CONTACTS: 0719193149
Nauza laptop yangu aina ya TOSHIBA C660,nimetumia kwa miezi mitano tu! Bado ipo kwenye hali nzuri sana.
Model:TOSHIBA C660
Colour:black
HDD:500 GB
RAM:3 GB
Processor:2.13 GHz intel ® Pentium ®...
Bar,guest house vyumba 12 zote self contained,ukumbi wa shuguli vinapangishwa,either zote kwa pamoja au unaweza ukapanga bar tu,guest tu,au ukumbi tu. Majengo yapo Mbezi Kimara.Ipo barabara...