tangazo: Nyumba inauzwa Tshs 10,000,000

tangazo: Nyumba inauzwa Tshs 10,000,000

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
Ni nyumba yenye vyumba vitatu, ipo mbezi kwa Msuguri...barabara inayoelekea Bwaloni...
ipo barabarani na ni eneo zuri kwa biashara na unaweza ukajenga fremu ukiamua.

CONTACTS: 0719193149
 
Bwaloni Mkuu ni wapi huko?Kuelekea kule st.Thomas Moore au wapi??!
 
Mkuu, ni PM. Njoo uchukue pesa kesho.

make sure u have all documents on hand na hakuna harufu ya utapeli.
 
Mtu anauza nyumba, jamaa wanaanza kupiga "chagulaga"...hahahaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom