unahitaji digital camera..
megapixel 10.1
zoom 3*
memory card 1gb
aina. GE
Bei yake laki 50 kwasababu
betri utanunua mwenyewe..
ukichelewa leo hupati tena..
0713133633
Wana jf nina nokia 2730c-1 imetoka norway ina restriction code. Yeyote anayeweza kuiflash au kuondo that thing,,, help me pliz,,,, drop a text on 0753 70 50 50....
jamani nimeagiza gari from japan. inawasili April 20, 2012.Documents zote wameshanitumia toka japani yaani Billy of lading,inspection certificates na nyingine.
Taratibu zote za kilipa ushuru...
Utambulisho Wa mwanzo Wa biashara/huduma au jina la kampuni yako ni NEMBO/LOGO. Wasiliana nami Kama unahitaji nyenzo muhimu katika utambulisho wako ili ni-design NEMBO/ LOGO yako. Pia kama unataka...
Nauza Camcorder ya JVC model GZ-MG505 ambayo imetumika kidogo sana na imetumika kwa uangalifu.Camcorder hii haitumii Cassette inatumia Hard Drive ambayo ni kubwa ya kukutosheleza kuchukua kwa...
Habari Jf,
Gari aina ya honda sports car inauzwa,
Ni ya mwaka 1998
imetembea 120,000km
4 Pistons
Petrol
Ina AC
From Japan
Ipo Morogoro
Bei ni 4.5m-maongezi yapo
Contacts:
0717...
Magari haya yapo sokoni kwa mawasilianao zaidi piga 0719539431 .Kuona picha zaidi ya Magari haya nenda kwenye blog yetu hii hapa Magari
Millage -98,000km
Price- 7.5 Million(maelewano yapo)...
Khabarini zenu wan JF, naomba msaada wa bei ya kupanga nyumba nzima maeneo ya Tabata chang'ombe,najua kama kuna madadli ila kwa sasa nipo mbali ndyo nataka kuja DSM, hivyo basi kama unaexperience...
Kampuni ya Mek-Elekt inajishughulisha na electronic renovation, installation za CCTV cameras. Environmental cleaning, Car Rental, kutengeneza uniform za aina zote. Karibuni sana wadau. Kwa...