Viwanja Vinauzwa

Merci

Member
Feb 6, 2012
90
135
Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Makabe (KM 3.5 kutoka Morogoro road), Mbezi Msakuzi(KM 5 kutoka Morogoro road), na Kwembe-Kibamba(KM 2 kutoka Morogoro road). Mita 20*25 bei 3.5M, Mita 20*25 bei 3M, Mita 20*20 bei 2.5M na Mita 20*20 bei 2M. Bei imezingatia uonekanaji (Landskape) ya kiwanja husika. Maeneo yote haya umeme upo karibu na barabara ni nzuri hadi kiwanjani. Viwanja vyote ni mali yangu nipigie ukiwa seriouse kununua 0713596266
 
jamani siwezi kupata hekari moja uko mbezi makabe??? utauza shilingi ngapi?
 
mbona umeingia mitini,hizo sehemu unazouza ni nzuri sema hivyo viwanja ni vidogo nahisi.....nitafutie maeneo hayo hayo uliyotaja,ila heka moja please......
 
mbona umeingia mitini,hizo sehemu unazouza ni nzuri sema hivyo viwanja ni vidogo nahisi.....nitafutie maeneo hayo hayo uliyotaja,ila heka moja please......
kipo 40*40 mbagala saku,very good neighbourhood
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom