Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya changanyiken | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya changanyiken

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Anne deo, Mar 6, 2012.

 1. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Habari wanajf,kwa yeyote mwenyewe ana namba ya dalali maeneo ya changanyikeni naomba anisaidie.
  Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba viwil,sebule,jiko na choo cha ndan(self contained)..iwe inajitegemea na ina sehemu ya parking.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Jamaa angu anayo bei 250,000 kwa mwezi upo tayari?
   
 3. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  dah nitashukuru ndugu,waweza nipa 4n number?
   
 4. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mpigie simu Epimaki 0718800006, atakusaidia, ni dalali poa sana. Nb: kuna nyumba watu wanahama may 12, na 13, kama zinakufaa muulize nyumba za mrema, au mayo atakuonyesha.
   
 5. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  thnx,be blcd
   
Loading...