Swali kuhusu ushuru TRA

Hebrew

JF-Expert Member
Jul 3, 2008
559
167
Nimesikia kuwa TRA wanachaji full ushuru wa magari ya PERSONAL EFFECT yaliyozidi zaidi ya miaka kumi. Nijuavyo mimi ni kuwa unalipa tu kodi ya uchakavu. Naomba watu wenye taarifa kamili watujulishe kama hii ni kweli. Natanguliza shukrani
 
Unless kama sijui maana ya neno personal effect ila nijuavyo mimi pamoja na kulipa uchakavu utalipa na kodi zote yaani import duty, excise duty na VAT
 
Back
Top Bottom