Nahitaji fundi wa kunijengea kibanda cha mlinzi shambani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji fundi wa kunijengea kibanda cha mlinzi shambani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitope, Jan 17, 2012.

 1. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa heshima zote Wakuu. naombeni mwenye ujuzi huu anifungue macho! Nahitaji kibanda tu cha kawaida, yaani chumba kulia chumba kushoto na choo kipo tayari nje! Kwa aliyewahi kufanya hii itanigharimu ngapi?!!? kila kitu nanunua mwenyewe tofali zipo tayari shambani kwa hiyo hapa ni mbao za kuezekea,mabati na dirisha za mbao!! Naombeni msaada nipo njia panda kwa anayejua makadirio yake. ama kama kuna fundi mwaminifu naomba nitambulishwe. kwa wale wazoefu nini nitahitaji zaidi? eneo liko huko kigamboni mashambani
  Shukrani zinatangulizwa.
   
 2. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Weka mawasiliano yako upigiwe
   
 3. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah! Mkuu asante kwa kulivumbua hili, lakini post hii ni ya kipindi na shughuli imeshafanywa! shukran sana lakini kwa moyo wa kutaka kusaidia.
  Ila tu kwa faida kwa wote labda pia ungeweka gharama zako za kufanya shughuli kama hiyo ili kwa baadae kama vipi nikutafute na wengine humu kama wanahitaji kitu cha mtindo huo wapate kujua wapi na nani wamdake!
  natoa shukrani zote.
   
Loading...