Upande wa nyumba unapangishwa mbezi beach/mbezi makonde

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Una vyumba viwili vya kulala na sebure, jiko na uzio. madirisha (sliding windows) shs kodi 350,000. Kodi ya mwaka.
kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409.
 
kodi ya mwaka ? kweli hii serikali inatakiwa iweke regulation kwenye haya mambo ya upangishaji wa nyumba.
hii ni aibu kwa taifa
 
Duh! Hiyo bei, tena upande kodi ya mwaka??? Saa zingine huwa najiuliza tunaishi sayari gani sie jamani. Kha!
 
Duh! Hiyo bei, tena upande kodi ya mwaka??? Saa zingine huwa najiuliza tunaishi sayari gani sie jamani. Kha![/
Dar es Salaam kuna nyumba kuanzia Tsh 20,000 mpaka hata millioni 3 kwa mwezi. Sasa kazi ni kwako kama wewe kipato chako ni kidogo kwanini utafute nyumba za Tsh 300,000 mimi nafikiri ni bora kuangalia na kukaa na watu wa kipato kinachoendana na wewe. Kwani sehemu za bei kubwa za kodi utakuta hata vitu vingine kama chakula ni bei juu vile vile. kwahiyo solution sio kulalamika kama kawaida ya watz badala yake tafuta nyumba/chumba cha bei poa kwani ndio dhamani yako.
 
Back
Top Bottom