Kwanini kila anayeuza nyumba anawafikiria kuwauzia watu wenye kipato kikubwa

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
43
Mtu akisema anauza nyumba ujuwe bei yake itakuwa ni kati ya millioni 40 hadi mia na kuendeleya mbona sioni nyumba ambazo watu wenye kipato kidogo wanazomudu kununuwa mfano bei ya millioni 7 hadi 15 millioni?????????????????????????
 
Gharama za ujenzi zimekuwa kubwa sana mkuu hapo hujajumlisha na bei ya viwanja. Kama unataka nyumba ya 15M basi itakuwa ya udongo na paa la nyasi.
 
Back
Top Bottom