Kiwanja mbezi beach kina hati na nyumba kinauzwa..

Kiwanja mbezi beach kina hati na nyumba kinauzwa..

NDOFU

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
656
Reaction score
145
plot ipo mbezi beach imepimwa na ina frontal access ya barabara ya lami..kwa mawasiliano ya kibiashara nicheck kwenye 0715 478 478..
 
weka specification zake pamoja na bei mkubwa
 
ungetaja kabisa na bei ili tusijisumbue kukupigia japo kwasasa wengine tunaogopa kweli kununua viwanja hapa DAR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom