Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zile Darubini za kwenye maabara aina ya JAICO BINOCULARS MICROSCOPE-Dual Power (zinatumia umeme na Solar kama umeme ukikatika-equiped) zimewasili kwa anehitaji anitafute ,Bei ni Mil.1 ila...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nyumba ina vyumba 4 na 2 uwani gari haingii mpaka ndani inaishia jirani inafaa kwa matumizi ya familia moja au mbili kodi ni 280,000 kwa mwezi. haipo mbali na barabara . kwa muhitaji makini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pia ina WIFI, BLUETOOTH, NA PIA NI TOUCH SCREEN. Iko kama Iphone 4. Bei 250000. Interested just PM.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa Mtu yeyote anayehitaji nokia n 900 Tuwasiliane kwa namba 0717798300
0 Reactions
6 Replies
1K Views
anayeuza seriously
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Almost new imetumika mwezi mmoja tu Bei 190,000 net no negotiation Doodle it for more clarification Kama unaipenda check me out please! 0686990399
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Watanzania mlioko ughalbuni nilipost ujumbe kama huu lakini sijapata mtu wa kunisaidia. Tafadhali nitafutieni housing yake.
0 Reactions
0 Replies
858 Views
iwe rangi nyeupe bt hata silver itumie line pm me ka unauza 32 gb kwenda mbele
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Jiji limenishinda kuhanjahanja bila issue ya msingi naeza kuwa kibaka, nna mpango wa kufungua kijiduka cha biashara kwa bidhaa mchanganyiko; kwa yeyote mwenye kujua center nzuri ya biashara na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nokia 2700classic inauzwa iko katika hali nzuri bei 170,000/= wahi upate kitu adimu miongoni mwa watanzania, ukiridhika na bei ni PM.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Lucusjapan (T) Ltd Old Bagamoyo road Mikocheni Opposite to shoppers plaza, Contacts; 0713 335474 / 0757 714410
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye heka moja Kibaha aseme nije kununua kiwanja(kisiwe karibu na barabara,hapa naogopa bei) na kama shamba liwe na wakazi kidogo maeneo hayo lisiwe polini kabisa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Brand New ACER Aspire 5733 With 1 Year Warranty! Processor: Duo core 2.1 Memory : 2GB DDR3 Hard drive: 320GB Webcam,DVD RW card-reader! Free Dos 1 year Warranty. Price; Tzs 650,000/- Call me...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Kwa wanao hitaji ramani za nyumba tuwasiliane 0715321662, mimi ni mchoraji wa hizo ramani.. From Ardhi University NB: kama hauna nia tafadhali usiwe msumbufu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jamii nauza laptop Yang yenye specification zifuatazo; Model;HP G50 win 7 Memory;2GB Hard disk;120Gb Processor;Intel (R) Pentium (R) Dual CPU T3200@2.0GHz Bei Tsh 400,000 Bei ni fixed...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Kampuni yako ya Kizalendo ya YECCO (T) LTD ishughulikayo na Building & Civil Contractor, Electrical Contractor & IT. inatangaza nafasi za kazi ya uhandisi: Sifa: A) Awe amehitimu elimu ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
anaehitaji cd original ya call of duty ile ya kwanza ipo kwenye box lake cd za installation zipo 2 na za expansion pack 2 bei 12000
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Gari aina ya Rv 4 T311 AFL inauzwa kwa bei nafuu million 9 maelewano yapo! No za simu 0716 21 61 29.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nitakuwa na wageni kutoka Ulaya ambao watakaa nchini kwa muda wa mwezi mmoja. Wanahitaji nyumba/apartment kwa ajili ya kuishi kwa muda wa mwezi mmoja tuu. Naomba yeyote mwenye taarifa kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama una Macbook Pro au Macbook Air naomba tuwasiliane, please.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…