Nauza Original Samsung Champ 2 Duos model no c3332 kwa bei ya 220,000 tu. Simu Ni mpya kabisa, haijawahi tumika, iko katika original Box yake na Inatumia Line Mbili. Ina touch screen, very...
Wakuu naomba msaada wenu, kupata DVR Kama hiyo au tofauti ya kudumu na pia bei nzuri nina haraka kidogo na baadae ntapenda nipat camera zake, au mtu anayeuza CCTV system complete kwa bei nzzuri...
Ndugu wanajf naomba munijuilishe ni sehemu gani haswa hapa dar wana exchange rate nzuri ya dollar, pia katika mikoa mengine wapi ntaweza kununua dola kwa bei nzuri. Kama kuna websites za bureau de...
ni manual car ya 1995 bado ina nguvu zakutosha.
ina engine ya Rav 4 ambayo ni 3S.
ni Petrol na CC 1880.
black colour tinted.
4doors;power window;rind handside wheel;
imetembea 188890km mpaka...
Natafuta nyumba ya kupanga, mimi ni dalali. inahitajika nyumba yenye vyumba vi-3 au 4 pamoja na master bedroom. Iwe na fence, iwe na tiles pia. Maeneo ni sinza, ilala boma au magomeni. Kwa...
Shamba lenye ukubwa Wa hekari 60 lililopo eneo la Mlandizi, Dar es Salaam linauzwa. Shamba lina jumla ya Ngo'mbe 20 mbuzi 120; kondoo 70. Pia lina nyumba 1 na trekta 1 wasiliana na Bw. Ibrahim...
wakuu Mwenye uelewa na printer hizi naomba anisaidie kuelewa bei yake hapa DSM na duka gani zinjapatikana ili nikanunue. HP LaserJet 1010 Printer (Q2460A)
Ni nzima inatembea na haina matatizo yoyote. Gari ipo Dar.
Ni manual ,Imekua chini ya uangalifu wa DT DOBIE Kwa Muda wote
BEI 18.500,000/= GARI IPO DAR. Unakarishwa kuikagua njoo na fundi...
CATS-NET Limited is an Internet Service Provider (ISP) specializing in the Provision of of turnkey Information Communication Technology (ICT) solutions such as providing high speed Internet and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.