ombi lakufahamishwa

ombi lakufahamishwa

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
537
Reaction score
240
habari za majukumu wanajamii wote, ningependwa kufahamishwa juu ya hizi bbm kwani sina ufahamu wa kutosha juu yake na ningehitaji kuwa na yangu
 
Kwa kuanzia nafikiri hii thread yako ungebandika kule kwy technology majibu yangeishaanza kutiririka lakini pili kama umeweza kujua hiyo teminology ''bbm'' basi tayali una uelewa kwa kiasi flan.

Funguka sasa into details ueleweke na kupatiwa ufafanuzi wa kina ni kipi hasa unachotaka kujua/kufaham.
 
Back
Top Bottom