Wana JF kitu kizuri share na Jamaa zako,
Jumba kubwa la kisasa (halijapauliwa)lenye underground Garage,M/bed room na sitting room au chumba cha mazoezi gym ya kisasa linauzwa bei ya kutupa Tshs...
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada!
eg..Last Kings Tyga Snapback
ymcmb snapback
MMG
Edit Post Reply...
Nyumba ina masterbedroom,2bedroom,sitting room,dinning room,public toilet na kitchen imewekwa bati bado kuweka flemu za madirisha na mirango,ina fensi ya miti gari inafika kwako,nimeanza process...
Laptop mpya na ya kisasa aina ya Gateway MD7820u inauzwa hapa Arusha kwa bei nafuu kabisa. Computer hiyo ipo katika hali nzuri na ina sifa zifuatazo:
Display Type:
Ultrabright™ TFT LCD...
Natafuta nyumba ya vyumba vitatu ndani ya geti, iwe na sehemu ya kuweka gari. Iwe na master. Maeneo ya kinondoni, kijitonyama na mikocheni. Isiwe kwenye shared compound. Bajeti isizidi 350,000 kwa...
Wakuu heshima mbele sana.
Kama unauza gari kwa bei hiyo tafadhali tuwasiliane, vile vile toa maelezo ya gari hilo
Kama:-
Mwaka wa kutengenezwa
Limeingia lini nchini
Limetembea kilometer ngapi...
toyota landcruiser vx ya mwaka 1996 engine 4200cc manual transmission ,bei dola 18000.
toyota landcruiser zx mwaka 1995 engine 4200cc IHZ MANUAL , BEI DOLA 18000.ANAHITAJI ANI PM NIMPE PUNGUZO.
Heshima mbele!
Nahitaji ushauri wa wataalamu wa biashara ya magari. Kuna mdau anataka kuniuzia gari hiyo - Land Rover Discovery V8i (model ya mwaka 1999). Gari ni nzima, nimeijaribu kwa kuendesha...
Wana Jf jaman me ndyo kat ya wale 4rm 6 leavers natafuta tempo ya kufanya for smwtym hapa town,,me npo Arusha and basically nina Certificate ya A+(cmpter maintanance and repair) i knw a lot abt...
Habari wan JF! Natafuta laptop used ambayo sio mbovu mbovu, nina 400000, nipo moro mjini so kwa anayeuza ani-pm 2fanye biashara, NIPO SERIOUS NA NAOMBA HIYO ISIWE MBOVU, na kama tatizo ni betri...
Blackberry Torch 9800 used for 4month for sale, iko kwenye condition safi sana kana inavyoonekana kwenye picha.
Bei ni 500,000Tshs
kwa anaye hitaji please check me on watchesandmobile@gmail.com...
Salaam wakuu!
Nahitaji gari dogo la kukodi hapa DSM kwa ajili ya kuendea kazini mainly.
Nitaendesha mwenyewe au nikipewa na driver itakuwa bora,kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 6usiku maximum
Ni...
suzuki escudo, ipo kwenye hali bomba,imetembea KM 78000; petrol engine, manual flow gear, AC&CD player vpo safi kabisa. Bei 7mil. Kama kuna muhitaji ani pm.
Natafuta mhandisi wilaya wa Kinondoni ili anijulishe gharama za kupitisha ramani kwa ajili ya building permit. Kama wewe ni trust worth engineer tafadhali ni pm.