Natafuta Tempo...

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Wana Jf jaman me ndyo kat ya wale 4rm 6 leavers natafuta tempo ya kufanya for smwtym hapa town,,me npo Arusha and basically nina Certificate ya A+(cmpter maintanance and repair) i knw a lot abt cmpter stuffs an operation,so plz if u'll b interested jst email me
david.wnstn@yahoo.co.uk
 
Abbreviations kama hizo kaandikie watoto wenzako FB..kimsingi nina kazi natafuta vijana tena wanaojua lugha..unaniambia Nikijiskia nikutumie email wakati wewe ndio una shida??? kwanini wewe usijiskie kunitumia email?? huna nia ya dhati..saga lami kwanza..utembee kuanzia USA mbaka Moshono kwa ngoko akili ikukae
 
Kweki huyu dogo hana adabu eti ukiwa interested nitumie e-mail. Halafu hizo abbreviations zake zinaonyesha at which extent you lack communication skills. By the way who is interested with your certificate!!!
 
Brothers thank you a lot for your advices an i have understood you very much and i am so sorry about that
 
Abbreviations kama hizo kaandikie watoto wenzako FB..kimsingi nina kazi natafuta vijana tena wanaojua lugha..unaniambia Nikijiskia nikutumie email wakati wewe ndio una shida??? kwanini wewe usijiskie kunitumia email?? huna nia ya dhati..saga lami kwanza..utembee kuanzia USA mbaka Moshono kwa ngoko akili ikukae

Thanks brother i have understood you a lot and next time i will try to be more effective in that matter,thanks a lot for educating me
 
Kweki huyu dogo hana adabu eti ukiwa interested nitumie e-mail. Halafu hizo abbreviations zake zinaonyesha at which extent you lack communication skills. By the way who is interested with your certificate!!!

Thanks a lot brother for educating me
 
Abbreviations kama hizo kaandikie watoto wenzako FB..kimsingi nina kazi natafuta vijana tena wanaojua lugha..unaniambia Nikijiskia nikutumie email wakati wewe ndio una shida??? kwanini wewe usijiskie kunitumia email?? huna nia ya dhati..saga lami kwanza..utembee kuanzia USA mbaka Moshono kwa ngoko akili ikukae

Mkuu Tbag mpe kibarua dogo kajirudi amegundua kosa lake!
 
Ukitaka kulamba kazi futa hiyo don . Don ushuzi huna chapaa ? Tumia david au daudi . Lasivyo mwaga vumbi hatuajiri matajiri.
 
Abbreviations kama hizo kaandikie watoto wenzako FB..kimsingi nina kazi natafuta vijana tena wanaojua lugha..unaniambia Nikijiskia nikutumie email wakati wewe ndio una shida??? kwanini wewe usijiskie kunitumia email?? huna nia ya dhati..saga lami kwanza..utembee kuanzia USA mbaka Moshono kwa ngoko akili ikukae

please brother nisaidie tempo,i have known my mistake and it won't happen again
 
Ukitaka kulamba kazi futa hiyo don . Don ushuzi huna chapaa ? Tumia david au daudi . Lasivyo mwaga vumbi hatuajiri matajiri.
Punguza jazba kwa vijana,utadhani hukupitia ujana mkuu?!!!Sasa kwani hapa JF kuna limit ya kutumia ID's?Labda mwenzako ana ndoto ya kuja kuwa tajiri baadaye,je angeandika Davy maswagger ungesemaje,muhuni ama?
---Believdat---
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom