Nyumba inauzwa.........kitunda,kivule

serioustime

Member
Feb 29, 2012
6
1
Nyumba ina masterbedroom,2bedroom,sitting room,dinning room,public toilet na kitchen imewekwa bati bado kuweka flemu za madirisha na mirango,ina fensi ya miti gari inafika kwako,nimeanza process za hati bado sijamalizia kutokana na hali ya kifedha kuwa mbaya nahitaji mnunuzi !picha nitaziweka kesho samahani sana !kwa urahisi wa kujua eneo ukipanda daladala ya banana - kivule unashuka kituo cha matembele 2 kivule
 
Hapa sio picha tu.......taja na mijihela...pipoz wajue
 
Bei rahisi sana kwa maeneohhao,dar hela zingekuwa mchanga ningekuja fasta sema nimepigika mbaya
 
Hebu weka picha, ukubwa wa eneo, bei sahihi, nambari za mawasiliano au njia ya kukupata maana hujaruhusu hata PM
 
Bei rahisi sana kwa maeneohhao,dar hela zingekuwa mchanga ningekuja fasta sema nimepigika mbaya

Kaaazi kweli kweli.
Halafu kule hakuna shida ya maji, visima virefu vimechimbwa maeneo mengi na ni maji masafi sana
 
ningejua hata hiyo kivule iko wapi yan niko gizan

SG,
Kivule ni eneo mbele kidogo ya Ukonga, kabla hujafika magereza ukitoka airport, unapinda kushoto. Ni mji mkubwa tu wenye huduma nyingi muhimu
 
Mi natafuta nyumba ya kupanga iwe self,rum mbili sitting room iwe maeneo ya kmara. Bei iszd lak moj kwa mwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom