Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari linahitajika: Used Toyota Hilux double cabin pick up. Indicate details za gari na bei yake.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
A CONSULTING FIRM IS URGENTLY LOOKING FOR AN EXPERIENCED LOG DESIGNER TO DESIGN IT A LOG KINDLY SEND US YOUR DETAILS INCLUDING YOUR PREVIOUS LOG DESIGN AND PRICES AT president2003tz@yahoo.com 0r...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Nokia 2610 zilizotumika zinauzwa kwa jumla na zimefunguliwa kutumika ktk network yoyote.Simu hizi zipo ktk hali nzuri na zinafanya kazi lakini hazina charger kwahiyo mauzo ni simu peke yake.Hazipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JORDAN EXPRESS CO LTDDealers in importing new & used vehicles, motorcycles and spare parts, Shipping, Clearing & Forwarding, Logistics, mining equipment, agricultural machineries, electronic...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu!napangisha nyumba ipo Iringa mjini ni ya vyumba 4(self contena)kodi laki2 kwa mwezi napokea miezi6 mpaka mitatu umeme na maji yapo ya uwakika pia ina uzio wa ukuta kwa mwenye uwitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama una vitz au corolla ya mwaka kuanzia 2000, 2001...... na kuendelea juu tuwasiliane, iwe na km chini ya 100,000 na iwe katika hali nzuri. bei isizidi 7Mil. no yangu ni 0755 555351. Naomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtakubaliana na mm. Kuna tofaut kati ya kuona na kutumia. Kwa watumiaj wa magar madogo plz nishaurini wakuu wa jukwaa gar lipi ninunue? Ambayo haisumbuwi upatikanajii wa spare part. Ukubwa ingin...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kmara, iwe room 2 na sebule, iwe self. Iszd lak moja kwa mwezi. Kaz kwenu wana jf.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kutab kuna ipad ina kila kitu nauza anayetaka ani pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa mtu yeyote aliyekua na software ya Tally awasiliane na mimi 0784429215 au kwa kupitia email yangu wingman7@vodamail.co.tz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF kitu kizuri share na Jamaa zako, Jumba kubwa la kisasa (halijapauliwa)lenye underground Garage,M/bed room na sitting room au chumba cha mazoezi gym ya kisasa linauzwa bei ya kutupa Tshs...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nauza Toyota Rav4 model ya 2002 three doors metalic silver marufu kama kilitime hatembei,ni pm kama uko intrested
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada! eg..Last Kings Tyga Snapback ymcmb snapback MMG Edit Post Reply...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Nyumba ina masterbedroom,2bedroom,sitting room,dinning room,public toilet na kitchen imewekwa bati bado kuweka flemu za madirisha na mirango,ina fensi ya miti gari inafika kwako,nimeanza process...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Laptop mpya na ya kisasa aina ya Gateway MD7820u inauzwa hapa Arusha kwa bei nafuu kabisa. Computer hiyo ipo katika hali nzuri na ina sifa zifuatazo: Display Type: Ultrabright™ TFT LCD...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya vyumba vitatu ndani ya geti, iwe na sehemu ya kuweka gari. Iwe na master. Maeneo ya kinondoni, kijitonyama na mikocheni. Isiwe kwenye shared compound. Bajeti isizidi 350,000 kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
milioni kumì(10m),rangi ni silver. Automatic. Piga:0713656256
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele sana. Kama unauza gari kwa bei hiyo tafadhali tuwasiliane, vile vile toa maelezo ya gari hilo Kama:- Mwaka wa kutengenezwa Limeingia lini nchini Limetembea kilometer ngapi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nahitaji Ipad 2 au Galaxy Tablets ya Samsung au Acer mpya ya kununuua.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
toyota landcruiser vx ya mwaka 1996 engine 4200cc manual transmission ,bei dola 18000. toyota landcruiser zx mwaka 1995 engine 4200cc IHZ MANUAL , BEI DOLA 18000.ANAHITAJI ANI PM NIMPE PUNGUZO.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom