Gari LINAHITAJIKA @ 5.5 MILLION

FOEL

Senior Member
Jan 19, 2012
141
34
Wakuu heshima mbele sana.

Kama unauza gari kwa bei hiyo tafadhali tuwasiliane, vile vile toa maelezo ya gari hilo

Kama:-

Mwaka wa kutengenezwa
Limeingia lini nchini
Limetembea kilometer ngapi
Manual au auto

Na picture kama itawezekana.

Asanteni sana.
 
Kizuri chajiuza....
Year....1963...automatic....20000km....arrived nchini 2011....
need I say more.....

104474.1963.Volkswagen.Beetle.jpg
 
Kuna faida gani ya kuharibu thread za member wenzako, siyo ujanja wala ustaarabu.

Id, kuna bwana mdogo wangu yuko bongo, anauza Premio yake 6Mil anataka kununua SUV, bado iko kwenye hali nzuri sana, used it last decembner nilivyokuwa huko, super mint.

Acha PM kwenye inbox yangu nikutumie number zake.

All the best
 
uharibifu upo wapi?....wewe amekutajia gari anayotaka.?...na una uhakika gani hiyo gari niliyoweka haiuzwi.....?
 
Kuna faida gani ya kuharibu thread za member wenzako, siyo ujanja wala ustaarabu.

Id, kuna bwana mdogo wangu yuko bongo, anauza Premio yake 6Mil anataka kununua SUV, bado iko kwenye hali nzuri sana, used it last decembner nilivyokuwa huko, super mint.

Acha PM kwenye inbox yangu nikutumie number zake.

All the best

Mkuu asante sana, nimewasiliana na mdogo wako na amenitumia picha, gari ni nzuri sana, sema hashuki chini ya 5.8 M mkuu, ndiyo naangalia jinsi gani tunaweza fanya biashara......mkuu kama vipi nipigie chapuo mkuu, kituo cha daladala kiko mbali sana na ninapoishi mkuu..lol

Asante sana, ubarikiwe.
 
Kwa wale wote mnaonitumia PM mbarikiwe sana, mchakato huu lazima umalizike weekend hii.

Changamkeni wakuu, hela ninayo mkononi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom