Eng. Wilaya ya Kinondoni

Eng. Wilaya ya Kinondoni

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Posts
1,601
Reaction score
962
Natafuta mhandisi wilaya wa Kinondoni ili anijulishe gharama za kupitisha ramani kwa ajili ya building permit. Kama wewe ni trust worth engineer tafadhali ni pm.
 
Ukitaka kukata deal safi fanya bargain openely hapa hadharani badala ya pm.
 
mi nilidhani unakwenda pale ofisi magomeni mataa ndipo alipo au huyu ni yupi tena?
 
Nyumba ya aina gani? Ghorofa au ya kawaida tu?
 
Kwani wewe haupo Dar?kama haupo basi mtume ndugu yako aende Magomeni makao makuu ya wilaya Kinondoni na kama upo nenda mwenyewe ni heri kukutana F2F kuliko kusubiri humu kwenye JF mambo mengine yanataka kupata taarifa mwenyewe ama sivyo unaweza kupotoshwa buure,kama una kifuta jasho nitume mimi bana nikashughulike teh teh halafu nikuingize mjini
 
Mfiachi, wengi kama sisi kaka tupo safarini muda wote. Dar tunaingia masaa mawili tunatoka tunazunguka kusaka maisha.

Nipo mbali sana na Dar ndio maana nalitumia jamvi hili.
 
Back
Top Bottom