Summary:
WAZZUB is the first online comunity that shares its Success with "us" the users. It would like to introduce us to the new way where we can shop for free without using our money.
Just by...
Hello JF,
Nina mdogo wangu aliyeko chuo mwaka wa pili anasoma Business Administration anahitaji mwalimu wa ziada wa kumfundisha na kumuelewesha Cost & Management Accounting kwan somo limekua...
Wadau nahitaji projector aina ya Epson kuanzia lumens 2500....kama una model nyingine nzuri (sio ya kixhina) naweza kuchukua...call me on 0712300200, plz usibeep..
Wanajamii nawasalimu...!
Ninatafuta gari ya kununua aina ya RAV 4 au Suzuki ya mwaka 2000 na kuendelea...! Iwe kwenye hali nzuri....! Nitapendelea kama muuzaji atakua hapa Dar es Salaam...
Flash Disks ya aina ya TOSHIBA.
2gb- 9,000/-
4gb- 10,500/-
8gb- 12,500/-
* With 1 Year Warranty.
* Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi.
* Special for RESELLERS.
Mwenge kuna frame kubwa nzuri kwajili ya biashara kama maduka hotel nk, Tsh 1,000,000 kwa mwezi, Kodi ni miezi 6 tu. Kwa mawasiliano: 0714-074040,0767-074040-0783-074040. Changamkieni deal...
Wana JF,
Kuna jamaa yangu ameniomba nimtafutie wafanyakazi wa ndani wawili.
Wa kwanza aweze kuongea kiingereza, atakua na kazi ya kumlea mtoto tu. Ataishi humo humo. Awe mdada, kama ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.