Nyumba inapangishwa Nkuhungu Dodoma.

Nyumba inapangishwa Nkuhungu Dodoma.

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Ina vyumba vitatu,jiko, sebule, sehemu ya kulia chakula na stoo.
Ina umeme na maji.
Chumba kimoja kati ya hivyo ni self.
Gharama ni Tsh 300,000/ ambayo italipwa kwa mkupuo wa miezi mitatu,sita au mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom