Nokia X3 red, mpyaaa, kwa bei chee

andy mchokozi

Member
Jan 25, 2012
42
5
unapata na chaji yake+memory card 1gb
ina uwezo wa kuingia neti,
bado mpyaa
picha hiyo hapo kwenye attachment..

bei ni laki na 90 tu..
 
Weka hiyo picha basi kaka ili kama tutaipenda tufanye biashara.
 
Weka hiyo picha basi kaka ili kama tutaipenda tufanye biashara.

kaka najaribu ku attach kupitia cmu yangu inakataa, lakini cmu yenyewe mpya ina mwezi tu ninashida ndio mana naiuza kaka, we I google utaijua jinsi ilivyo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom