Angalia uwezekano wa kutumia solar Mkuu. Ukiangalia gharama za kununua generator na bei juu za mafuta, utaona kuwa umeme wa solar unalipa.
Mimi naishi ughaibuni. Nilizinunua kwa matumizi yangu pindi nikiwa Tanzania. Hizi hazina gharama ya kufunga kwani una plug tu na zina waya special tayari. Hazina shida kabisa. Ila ni kwa ajili ya matumizi ya mwanga tu, vilevile ku charge mobile phone au kusikilizia radio. Kwa matumizi makubwa zaidi unahitaji solar panels kubwa kutegemea na matumizi yako, charge controller, inverter na batteries. Unaweza kuni pm kwa maelezo zaidi.Naomba nisaidie kidogo je wewe ulilipa Tshs. ngapi kuwekewa nyumbani kwako?
Mimi naishi ughaibuni. Nilizinunua kwa matumizi yangu pindi nikiwa Tanzania. Hizi hazina gharama ya kufunga kwani una plug tu na zina waya special tayari. Hazina shida kabisa. Ila ni kwa ajili ya matumizi ya mwanga tu, vilevile ku charge mobile phone au kusikilizia radio. Kwa matumizi makubwa zaidi unahitaji solar panels kubwa kutegemea na matumizi yako, charge controller, inverter na batteries. Unaweza kuni pm kwa maelezo zaidi.

Asante kaka Kumbe ni rahisi kutumia kiasi hicho
Nimewatumia email mchana huu ili wao waniambie gharama na ushauri zaidi
Nakutakia maisha mema ughaibuni. Sisi tuko Bongo tunamshukuru sana Mungu japo hali ni ngumu.
Je waweza kuniambia uko ungaibuni ipi? Napenda kufanya biashara nikipatra mtu wa kunipatia details za vitu gani vitanipa faida nikiagiza maana mimi mwenyewe niko Bandarini