Natafuta kiwanja kikubwa cha wastani maeneo ya mbagala, kimara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kiwanja kikubwa cha wastani maeneo ya mbagala, kimara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Mar 29, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Natafuta kiwanja kilichopo eneo zuri karibu na barabara kwa mei ya tshs. 2-3 milion
  kiwe na hati
   
 2. andycachy

  andycachy Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 82
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kipo mbagala 4 million
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Unatafuta kiganja wewe bei hyo du badae sana!!
   
 4. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kaka / dada naomba tuwasiliane kwa email yangu kwa faragha zaidi
  EMAIL: anna@tanzaniaports.com
  Asante

   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huwezi pata kwa hiyo bei
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe uko Kijiji gani hapa Tanzania?
  Viwanja ni vingi tuu hata hapa kijijini kuna kiwanja bei yake ni kama yako tuu

   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  Mbona mnamtisha mdau...viwanja vipo ila sio dar es salaam...lazma viwanja hivyo vianzie morogoro kwenda hukooo na sio maeneo ya mijini....ila viwanja vipoooooo.
   
Loading...