Nisaidieni je hii biashara ya kuuza umeme , kutoa /kupokea, kulipia dawasco inafaida kwa kiasi gani?

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Nataka kufungua biashara nataka nami niwe na ile machine ya MAXCOM AFRICA, na M-PESA, na TIGO PESA
JE FAida yake wenzangu mnaijuwa inalipa?
Maana naona watu wengi wanafanya tayari
NISAIDIEN USHAURI WAKUU, JE INALIPAJE FAIDA?
 
Kaka mbona hujanipa inalipa kwa mifani mtaji wa 500,000 na jinsi wateja watakaponunua umeme au kulipa DAWASCO mimi nitapataje faida na kiasi gani?
 
Back
Top Bottom