Samsung digital camera es28 for sale

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Nauza samsung digital camera model ES28 imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya wasiwasi.Camera hii ina megapixel 12.2 lakini haina betri itabidi ununue betri.Bei yake ni Tshs 85,000 na imeshafika kutoka Uingereza na kwa ununuzi tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318.

DSC00626.JPG DSC00624.JPG
 
uko mkoa gani?navipi kuhusu punguzo?pia wakati haina betr nitaamini vipi kua ninzima au mbovu?
 
Mkiva...Camera ipo Bongo imeingia juzi na sina wasiwasi kwasababu najua kama inafanya kazi.Inatumia betri za AA nadhani utanifahamu hapo ila sikuwa na muda wa kununua betri kwasababu ya muda.Na kama uatainunua nitakushauri ununue betri za kuchaji ni nzuri zaidi lakini utahitaji charger.Au kama vipi hapo uongeze SHS 15,000 nikuletee kutoka UK ambayo itakuwa ni ya uhakika ni charger na betri ambayo sitii faida ktk hiyo ni kama msaada.Nijibu kama upo serious lakini mzigo utafika mwezi ujao tarehe 10.
 
Umetupa tangazo hapa halijakamilika alafu utaki kurudi kujibu, tukuelewe je?
 
Mhh!! Shine sijakuelewa bado ni tangazo lipi halijaeleweka au kipi hujakielewa nifafanulie ili nikujibu tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom