Wanajamvi wanaohitaji kiwanja habari ndio hii...
Kuna kiwanja kinauzwa eneo la Mbweni Mpiji, Kinondoni chenye sqm 662 na Hati miliki. Eneo la 14, kiwanja na. 216, Kinauzwa 15M tu, Hakuna dalali. Kwa mawasiliano piga nambari 0713354090. kazi ni kwako.