Nikon digital camera coolpix 5200 for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikon digital camera coolpix 5200 for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Jun 10, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nauza Nikon Digital Camera Model COOLPIX 5200 na ina megapixel 5.1.Imetumika lakini ipo katika hali nzuri na inafanyakazi bila ya wasiwasi.Inayo battery na charger yake na bei ni Tshs 85,000 kwa mawasiliano zaidi naomba umpigie simu Habibu 0717810318.Camera imeshafika Bongo kutokea Uingereza.

  DSC00638.JPG DSC00636.JPG DSC00637.JPG
   
 2. escober

  escober JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  megapixel 5 bro mbona ya zamani sana hii
   
 3. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,512
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  haka kangu kenye pixes 14.5 tayari nimekachoka hiyo ya 5 itakuwaje.
   
 4. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sawa jamani nimewasikia lakini hivo vya zamani pia vinapendwa "old is gold".Hii ni camera ni ya kampuni iliyobobea ktk mambo ya Camera ni jina kubwa ktk mambo hayo.Bei zake siku zote zipo juu kwasababu ni Quality hata kama unaona ni 5 megapixel lakini bado inatoa picha babu kubwa.
   
 5. GP

  GP JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mpwa Kifulambute,
  nimeipenda signature yako!.
   
Loading...