toyota 2002 for sale.14 million only

toyota 2002 for sale.14 million only

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
687
Reaction score
238
used for less than a year in dar.
automatic
pimped with better rims
price is 14m tsh only.
dalali nampa laki 2
piga namba:0713656256
 

Attachments

  • toyota_noah.jpg
    toyota_noah.jpg
    11.6 KB · Views: 83
Inafanana na hiyo, maana hiyo picha si ya Tanzania
 
Hiyo 2002 ndio model yake au nikueleweje? Hiyo gari inaonekana kwa mbele tu, si rahisi mtu kujua kuwa ni station wagon, couch au van. Hebu funguka zaidi wananchi tujitutumue kutembelea masaburi. Andika kwa mfano huu:
Toyota Noah 4D Rampire
RHD, Auto, 4WD, Airbag, Leather Seats n.k

Binadamu akipata specifications za kutosha anashawishika zaidi, lkn ukiandika toyota tu mimi nabaki njia panda manake toyota ana model kama 197 hivi.
 
ndugu zangu simu yangu haina kamera so inaniwia vigumu kuweka picha sema kwa yeyote anayetaka kuiona anakaribishwa.nipo dar.
 
umeweka picha ya huko tupa ya hapa bongo inavyoonekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom